Saturday, April 6, 2013

media day 2013

Jioni ya leo (06/04/2013) nikisalimiana na bosi wangu Joseph Kulangwa, Mhariri wa Habari Leo. Ni viwanja vya Leaders Club, Dar es salaam.

My wife Elizabeth alikuwepo pia!

Mimi nikiwa na wachoraji Shauri Kati na Athuman Fukwa. Kwa pembeni Elizabeth (mke wangu na shabiki wangu nambari 1) @ Leaders jioni ya leo.

Nikibadilishana taarifa na Katunisti Supa Deo wa Mwananchi. No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO