LISA... ni Hadithi katika michoro iliyochorwa na SHAURI KATI (Shaka) Hadithi hii ilikuwa inatoka katika gazeti la
IJUMAA na haikuweza kumalizika (Kufika Mwisho) sasa itapatikana katika kitabu
kimoja kuanzia mwanzo mpaka mwisho kabisa wa kisa hicho ambacho asilimia 75 ni
matukio ya kweli.
Ili kujua Shaka alimtazamaje Dorice (Mkewe) baada ya kujua ya
kuwa amekatwa mkono na mguu? Atataka kujua nini kuhusu mtoto aliyezaliwa
Dorice? Mona naye ataishia wapi kwa unyama aliomfanyia Dorice (Wifi)?. Mama
mwenye nyumba (Lisa) ataliacha SEKESEKE liishie hewani au ataendelea kukomaa na
Mona na Shaka mpaka kieleweke?
Majibu ya maswali yote haya utayapata ndani ya
kitabu hiki cha LISA kitakachopatikana mitaani kuanzia tarehe 29 -08-2013 kwa
bei ya shilingi 5,000/= tu. Hakikisha hukosi nakala yako.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kitabu hiki na kwa wanunuzi wa jumla wasiliana na : +255 715 492 199
No comments:
Post a Comment
TUPE MAONI YAKO