Thursday, April 27, 2023


ALKASUS ni Jarida lenye mkusanyiko wa katuni na simulizi kwa kutumia michoro ya kuvutia kutoka kwa magwiji wa kazi hizo wakiongozwa na Marco Tibasima. Linatoka kila siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa kwenye app ya Tibasima Comics inayopatikana Playstore kwa watumiaji wa simu za android.

Link: http://tibasimacomics.co.tz/android/view_books.php?book_id=209

Kwa mtumiaji wa iPhone kwa sasa waweza kulisoma kwenye Telegram channel: t.me/TibasimaComicsApp 

 

Tuesday, September 22, 2020

GUMZO 025


 Akiwa katika kupambana na maisha, kijana Bandidu anajikuta kaingia anga zisizoingilika. Huko yanamkuta makubwa. Je, ataweza kuchomoka? Ni USO KWA USO! Sasa jarida la GUMZO linapatikana kwenye app ya M-Paper na Tovuti ya web.mpaper.co.tz

Wednesday, September 9, 2020

MKENGE WA DALALI!


 Akiwa kwenye kazi yake ya udalali, Bungubungu anapata mteja. Kwa kutumia medani za kidalali anafanikiwa kumuingiza ‘mkenge’ mteja wake huyo. Lakini kwa mshangao, ni yeye ndiye kauingia ‘mkenge!’ Naam, ni MKENGE WA DALALI! Ilikuwaje? Ingia kwenye link hii ukausome mkasa mzima: https://web.mpaper.co.tz/read/show/18454/125/mkenge-wa-dalali.html

Tuesday, September 1, 2020

GUMZO - MWANA KULITAFUTA...Honorata, mke wa rafikiye Taita Bonge, anatoweka nyumbani. Nyumayake anaacha ujumbe wa maandishi kuwa anakwenda China‘kufunga mzigo'. Siku zinapita na hakuna simu wala taarifa yoyote kuhusu Honorata. Wakati huohuo ‘dili’ za Taita Bonge haziendi vizuri, hivyo anafunga safari kwenda nje ya jiji kumtafuta ‘fundi’ amtazamie nyota yake. yaliyompata huko ni makubwa! Ili kujua zaidi kilichotokea fuata link hii: http://web.mpaper.co.tz/read/show/18337/125/mwana-kulitafuta---!.html


 

Wednesday, August 26, 2020

GUMZO: Father-in-law!

A gangster Bandidu deeply falls in love with Nandy, the only daughter of Afande Mtata. Every time he thinks of Nandy he finds it hard to sleep. But then, he decides to leave behind being a bachelor and engage Nandy so that he can marry her. But he faces a huge obstacle from future father-in-law to-be. Will Bandidu make it? Dive into this tragedy which is presented by fun and interesting comic characters here: http://web.mpaper.co.tz/read/show/18217/129/father-in-law!.html