Tuesday, September 1, 2020

GUMZO - MWANA KULITAFUTA...



Honorata, mke wa rafikiye Taita Bonge, anatoweka nyumbani. Nyumayake anaacha ujumbe wa maandishi kuwa anakwenda China‘kufunga mzigo'. Siku zinapita na hakuna simu wala taarifa yoyote kuhusu Honorata. Wakati huohuo ‘dili’ za Taita Bonge haziendi vizuri, hivyo anafunga safari kwenda nje ya jiji kumtafuta ‘fundi’ amtazamie nyota yake. yaliyompata huko ni makubwa! Ili kujua zaidi kilichotokea fuata link hii: http://web.mpaper.co.tz/read/show/18337/125/mwana-kulitafuta---!.html


 

No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO